KWA HALI KAMA HII WATANZANIA TUNAELEKEA WAPI?


HAYA NDIYO YALIYOANDIKWA NA WANAMTWARA

 
 Ili linasema ''Gesi ibaki au tugawane nchi''
 Hili limendikwa ''Gas haitoki wapuuzi tumegaili'' na  pia kina lingine linasema ''Wapuuzi mkuu wao mpuuzi''
 Hili limeandikwa '' Ges kwanza uhai baadae''
 Hili limendikwa '' Tutakufa naowapi Mkuchika, Ghasia na Murji?''
 Hili linasema Mtwara kwanza Bagamoyo baadaesana aitoki ng'o Mtwara
 Hili limeandikwa ''Bandari Bagamoyo, Gesi Bagamoyo, Viwanda Bagamoyo Mwara wapuuzi?''
 Hili linasema Ukiiuuaa! Tunakupeleka The HEG gesi hautoki
Mshiua hii gesi niya Wamakondena mafuta ya Makwele
Na hili linasema ''Mh. Kikwete tatizo sio Mikataba yako noma

No comments

Powered by Blogger.