Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea hati za utambulisho kutoka
kwa Mabalozi wa Msumbiji na Indonesia Ikulu jijini Dar es Salaam.Pichani
ni Balozi mpya wa Msumbiji nchini Tanzania Dkt.Vicente Mebunia Veloso.
Balozi Mpya wa Indonesia nchini, Mhe.Zakaria Anshar wakiwasilisha hati
zao za utambulisho kwa Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar
es Salaam leo.
PICHA KWA HISANI YA IKULU BLOG
No comments:
Post a Comment