| Waumini wa dini ya Kislam wakiombea duwa jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu Doto Kipenga |
| Bondia wa ngumi za kulipwa Japhert Kaseba akiwaongoza wenzie kulibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Doto Kipenga aliyekuwa bondia wakati wa uhai wake kwa ajili ya maziko yaliyofanyika katika makabuli ya Kigogo Mburahati siku ya Januari Mosi Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |



No comments:
Post a Comment