HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » NAIBU WAZIRI WA MICHEZO AVUNJA UKIMYA MAPATO UWANJA WA TAIFA

 Naibu Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Amosi Makalla akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu mgawanyo wa mapato ya Uwanja wa taifa pamoja na malimbikizo ya kodi za makocha wa timu za taifa. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Michezo, Juliana Yassoda, Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu, Silas Mwakibinga na Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah.  
Naibu Mkurugenzi wa Michezo, Juliana Yassoda, akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari.
 
 Picha na Habari Mseto Blog

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: