Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akibadilisha mawazo na Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, kulia Dkt. Salim Ahmed (kulia) Salim na Makamu Mwenyekiti Jaji Mkuu mstaafu, Augustino Ramadhani (katikati).Wajumbe wa Tume walikuta na Rais huyo mstaafu ili kupata maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya.
RAIS MWINYI ATOA MAONI KATIBA MPYA
Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akibadilisha mawazo na Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, kulia Dkt. Salim Ahmed (kulia) Salim na Makamu Mwenyekiti Jaji Mkuu mstaafu, Augustino Ramadhani (katikati).Wajumbe wa Tume walikuta na Rais huyo mstaafu ili kupata maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya.

Tag:
No comments:
Post a Comment