Vijana wakiwa wamelala na hawajitambui baada ya kuvuta gundi
Kwa hali kama hii tunatengeneza vibaka na majambazi ambao watasababisha maisha ya watanzania kukaa bila amani.
Kijana huyu amelala akiwa ameweka mkono mfukoni ili kulinda gundi yake isichukuliwe na mtu yeyote
Hawana habari yoyote ya kitu kinachoendelea kwenya dunia hii



No comments:
Post a Comment