Frank Filias (25) akiwa amelazwa katika hospitali ya
wilaya Temeke wodi namba saba baada ya kupigiwa risasi na
mfanyabiashara mmoja wa mbao kufuatia ugomvi wa kudaiana Sh 100 ya maji
ambayo mama yake mzazi, Sarah Mwaikatale alidaiwa na jirani yake kuwa
alishindwa kumlipa.
Frank Filias (25) ni mkazi wa mtaa wa Tandika akiwa amelazwa hospitali ta Temeke baada kupigwa risasi kwenye paja mguu wake wakulia wakati wa ugonvi wa kudaiana sh. 100 ya maji
PICHA NA CHRISTOPHER NYENYEMBE
No comments:
Post a Comment