Naibu Meya wa Manispaa ya Dodoma Jumanne Ngede akitoa ufafanuzi kwa aina
yake mbele ya Maajenti wa Mabasi yaendayo mikoani na wafanyabiashara
wenye vibanda na mama lishe wakati alipokuwa akitangaza kufungwa kwa
stendi hiyo ya muda iliyodumu kwa miezi mitatu kinyume na ilivyokuwa
imepagwa kutumika kwa miezi 10.
PICHA KWA HISANI YA BANDA INT. PHOTOGRAPHER.
No comments:
Post a Comment