HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » TASWIRA ZA MSIBA WA SAJUKI KUTOKA NYUMBANI KWAKE TABATA BIMA

 Mke wa marehemu, Juma Kilowoko 'Sajuki', Wastara Juma, akiwa na simanzi nzito kwa kumpoteza mumewe.
 Baba mzazi  wa marehemu, Juma Kilowoko 'Sajuki' akiwasiliana na ndugu na jamaa msibani hapo.…
 Dada wa marehemu Sajuki akilia kwa uchungu.
Bibi wa marehemu Sajuki akiwasili msibani leo.

Pichani juu ni baadhi ya taswira za waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Juma Kilowoko 'Sajuki', Tabata- Bima jijini Dar es Salaam. Sajuki amefariki dunia leo alfajiri akiwa katika hospitali ya taifa Muhimbili ambapo alikuwa akitibiwa. 
 
 
 PICHA NA HAMIDA HASSAN / GPL

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: