Baadhi ya Wajumbe ya Mabadiliko ya Katiba katika picha ya pamoja na
Wanachama na viongozi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) mara baada ya
mtandao huo kuwasilisha maoni yake kuhusu Katiba Mpya leo (Jumatano,
Jan. 9, 2013), katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam)
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya
Katiba Dkt. Sengondo Mvungi akiongea katika mkutano na Mtandao wa
Jinsia Tanzania (TGNP) uliolenga kupata maoni ya mtandao huo kuhusu
Katiba Mpya leo (Jumatano, Jan. 9, 2013), katika ofisi za Tume jijini
Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Wajumbe wengine wa Tume Bi. Mary
Kashonda na Bi. Salma Moulidi.
Mwananchama wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) Bi. Subira Kibiga
akitoa maoni ya mtandao huo kuhusu Katiba Mpya katika mkutano na Tume ya
Mabadiliko ya Katiba leo (Jumatano, Jan. 9, 2013), katika ofisi za Tume
jijini Dar es Salaam. Wengine ni wananchama wenzake Bi. Diana Mwiru
(kushoto) na Bi. Asseny Muro.
Mwanachama wa Mtandao wa Jinsia
Tanzania (TGNP) Bi. Asseny Muro akitoa maoni ya mtandao huo kuhusu
Katiba Mpya katika mkutano na Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo
(Jumatano, Jan. 9, 2013), katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam.
Kulia kwake ni Mwenyekiti wa TGNP Bi. Mary Rusimbi na Mjumbe wa Bodi ya
mtandao huo Prof. Ruth Meena.
Picha na Omega S. Ngole,
Principal Information Officer,
Constitutional Review Commission (Tanzania),




No comments:
Post a Comment