HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » Uongozi wa Mapinduzi Cup,wakutana na Rais Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Cheti cha Shukurani Meneja wa Benki  ya Watu wa Zanzibar Limited,(PBZ) Juma Amour, kwa Mchango wa Benki  hiyo kuchangia Kombe la Mapinduzi Cup.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.akimkabidhi Cheti cha Shukurani Ibrahim Raza wa  Kampuni ya  Hassan & Sons, kwa Mchango wa Kampuni hiyo  kuchangia  Kombe la Mapinduzi Cup,hafla ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar.
IMG_7357 
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Mapinduzi CUp na Wahisani waliochangia Kombe la Mapinduzi CUP,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein,alipokuwa  akizungumza nao leo Ikulu Mjini Zanzibar,pia Kukabidhi Vyeti vya Shukurani kwa michango mbali mbali  iliyotolewakufanikisha Mashindano hayo.
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Mapinduzi CUp na Wahisani waliochangia Kombe la Mapinduzi CUP,wakimsikiliza Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein,alipokuwa  akizungumza nao leo
IMG_7382 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa  akizungumza na Uongozi wa  Mapinduzi CUP ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar,kupata kupata nasaha  pamoja na kukabidhi vyeti vya Shukurani kwa wahisani waliochangia  kufanikisha mashindano ya Kombe la Mapinduzi CUP.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Wizara

ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo na Wahisani waliochangia Kombe

la Mapinduzi CUP,walipofika ikulu kwa kupewa Shukurani kwa michango

yao leo Ikulu Mjini Zanzibar.  

 Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: