Wababa na mpenzi wake jina halikutambulika mapema wakipita mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam
Wababa na mpenzi wake wakila raha ndani swiming pool
Mapenzi yao yalianza tangu binti akiwa kidato cha tatu
lakini halikuwa penzi lenye mashamu shamu kwa kuwa Wababa alikuwa bado
hajamiliki pesa na heshima katika jamii inayomzunguka kama sasa mara tuu baada
ya kuchukua kifuta jasho cha BSS na vijihela alivyopewa na mapapaa waliokubali
kazi aliioifanya bss hivyo kuwa na kiburi kilichomfanya amtie mimba mwananfunz
ambae aligundulika kuwa ametoa mimba mara taarifa za mahusiano ya wababa na
mwanafunzi huyo kufikishwa kwa mama mzazi wa binti huyo.
Wababa aliwekwa ndani kwa muda wa siku mbili na kesi bado ipo mahakamani na wazazi wa binti wameapa kumweka ndani wababa na kumfanyia kitu kibaya kwamba hasitoke ndani huku binti akiwa hajaonekana kwa siku ya 4 sasa na kutokujulikana alipo kwa madai anampenda wababa na wakimfunga tu nae anakunywa sumu.

PICHA KWA HISANI GUMZO LA JIJI

No comments:
Post a Comment