HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » WAZIRI MKUU MSTAAFU LOWASSA, CHAMA CHA WAAJIRI NA WABUNGE WANAWAKE WATOA MAONI YA KATIBA MPYA

1.
Waziri Mkuu mstaafu, Mhe. Edward Lowassa akizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yao uliofanyika leo (Jumanne Januari 22, 2013) katika ofisi zaTume jijini Dar es Salaam, ambapo alitoa maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya. (Kulia) ni Mjumbe wa Tume Bi. Maria Kashonda.
2. 
Waziri Mkuu mstaafu, Mhe. Edward Lowassa akizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yao uliofanyika leo (katikati) ni Mwenyekiti waTume hiyo, Jaji Joseph Warioba na Mjumbe waTume, Dkt. Salim Ahmed Salim.
3.
Waziri Mkuu mstaafu, Mhe.Edward Lowassa, Mhe. Edward Lowassa akibadilishana mawazo na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nje ya ofisi zaTume hiyo leo jijini Dar es Salaam mara baada ya kutoa maoni na uzoefu  Wengine pichani ni Wajumbe waTume, Waziri Mkuu mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim, Bi. Maria Kashondana, Dkt. Sengondo Mvungi.
5.
Katibu wa Chama cha Wabunge Wanawake wa Bunge la Jamhuriya Muungano wa Tanzania amabaye pia ni NaibuWaziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Angelllah Kairuki akiwalisha maoni ya Chama hicho kuhusu Katiba Mpya kwa Tumeya Mabadiliko ya Katiba wakati wa mkutano wao uliofanyika leo  katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam.
6
Mwenyekiti wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Bw. Almas Maige akizungumza na wajumbe waTume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yao uliofanyika leo ambapo ATE iliwasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya.
7. (2) 
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Omari Sheha Mussa akizungumza na ujumbe kutoka Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) katika mkutano baina yao uliofanyika leo katika ofisi zaTume hiyo, Jijini Dar es Salaam, ambapo ATE iliwasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya.

 PICHA NA TUME YA KATIBA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: