Hapa mimi Geofrey Adroph katika kipindi hiki nilikuwa na miaka miwili (2) nilikuwa sijui kujiogesha na pia kula nilikuwa nasaidiwa jambo la msingi ni kwamba nampenda mama maana kanilea mpaka sasa nilipo. Ni jambo la kumshukuru mungu maana sio kazi rahisi katika maisha.
-
No comments:
Post a Comment