Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen
akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar .
Nahodha wa Stars, Juma Kaseja akizungumza na waandishi wa habari leo Dar.
Kocha wa timu ya Taifa ya Cameroon,
Jean Paul akizungumza na waandishi wa habari. Kushoto ni Meneja wa timu hiyo, Rigobert
Song na Nahodha wa timu hiyo, Pierre Wome.
Meneja wa timu ya Cameroon, Rigobert Song (katikati) akiingia katika Ofisi za TFF wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo.
Meneja wa timu hiyo, Rigobert Song akifafanua jambo wakati wa mkutano
na waandishi wa habari. Katikati ni kocha Mkuu wa timu hiyo, Jean
Paul na nahodha, Pierre Wome
Picha na Dande Junior wa Habari Mseto Blog
No comments:
Post a Comment