Tid na Wema Sepetu ndiyo mastaa wa Tanzania wanaopendekezwa zaidi
kuiwakirisha Tanzania mwaka huu katika jumba la Big Brother Africa.
Inasemekana kuwa Wema Sepetu ambae amesha wahi kuwa miss Tanzania 2006
na muigizaji wa filamu ameonekana kinyemela akiwa katika office za DSTV
kwenda kuchukua form hizo za ushiriki.
Na sasa anaesubiriwa ni Tid kama
na yeye pia atajiunga na Wema kuchukua form hizo kama alivyo kuwa
amesema baada ya kuulizwa na chombo kimoja cha habari. Form hizo ndizo
zinazo kuwezesha upate nafasi ya kushindania mapesa hayo ya BBA. Wengine
wanaopendekezwani ni Lisa Jensen na Fezza Kessy.
No comments:
Post a Comment