Katibu wa zamani wa Chama cha Soka Tanzania (FAT) sasa TFF, Michael Wambura
ALIYEKUWA Katibu wa zamani wa Chama
cha Soka Tanzania (FAT) sasa TFF, Michael Wambura ameenguliwa kwenye
kinyanganyiro cha kuwania nafasi ya Makamu wa Rais wa Shirikisho hilo
kwenye uchaguzi utakaofanyika Februari 24 jijini Dar es Salaam.
Mbali na Wambura, walioenguliwa kwenye nafasi kuwania ujumbe wa kamati ya utendaji ni Mbasha Matutu(Shinyanga) Charles Mgondo (Arusha/Manyara), Ayoub Nyaulingo

(Rukwa), Eliud Mvela (Iringa/Mbeya),
Omary Abdukadir (Dsm), Hassan Hassanol (Moro/Pwani), Farid (Moro/Pwani),
Lazalius (Rukwa), Shafii Dauda (DSM).
Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi Deogratius Lyato alisema Wambura ameenguliwa kwenye kinyanganyiro hicho kwa vile hajakidhi matakwa ya uchaguzi ibara ya 9 (7) inayosema lazima mhusika awe mwadilifu wa kusimamia na kuwa na uwezo wa kufanya kazi kwa ukamilifu na kutimiza wajibu na malengo ya TFF.
Hii si mara ya kwanza kwa Wambura kuenguliwa katika nafasi mbalimbali alizoomba kuongoza soka nchini.

MWANASPORT
No comments:
Post a Comment