Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed
Shein,(kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa
Mataifa la Maendeleo ya Elimu,Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Irina
Bokovas,akiwa na ujumbe wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed
Shein,(kushoto) akisalimiana na Dk.Rawya Saud Al Busaid,Waziri wa Elimu
ya Juu wa Nchini Oman.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed
Shein,(kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa
la Maendeleo ya Elimu,Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Irina Bokovas.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed
Shein,(kulia) akizungumza na Waziri wa Elimu ya Juu wa Nchini
Oman, Dk.Rawya Saud Al Busaid.
Picha
zote na Ramadhan Othman, Ikulu
No comments:
Post a Comment