Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa katika Picha ya Pamoja(Picha na Michuzi Blog)
Mstahiki
Meya wa Manispaa ya Ilala Muheshimiwa Jerry Silaa akiwakaribisha
washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 katika Manispaa ya Ilala
Mmoja
wa washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 , kutoka Kanda Maalum ya
Zanzibar akitoa Shukurani kwa niaba ya Warembo wenzake
Muheshimiwa Jerry Silaa Akizungumza na Washiriki wa Miss Utalii Tanzania
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13 wakiwa katika Picha ya pamoja na Muheshimiwa Meya wa Manispaa Jerry Silaa








No comments:
Post a Comment