Meneja
Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (katikati) akizungumza na
waandishi wa habari (hawapo pichani). Kulia ni Meneja wa TMK Wanaume
Family, Said Fella ‘Mkubwa’ na Meneja wa Wanaume Halisi, Abdallah
Mashoto.(Picha na Global Publishers)
Mrisho akiteta jambo na Juma Nature na wenzake.
Wanaume Halisi wakiwa katika picha ya pamoja na meneja wao, Mashoto.
Wanaume Family wakiwa katika picha ya pamoja na meneja wao, Fella.
Juma Nature (kushoto) akiongea na waandishi wa habari.
Wasanii wa Wanaume Family, kutoka kushoto, Dogo Aslay, Stiko na YP wakiwa katika pozi.
Temba akiongea na waandishi wa habari.
Mhariri wa Gazeti la Risasi, Mohamed Kuyunga akiwa katika picha ya pamoja na Temba na Nature.
Temba akiingia kwenye gari lake tayari kwa kusepa.
Benjamin Mwanambuu, mmoja wa waratibu akiwa na Pamela Daffa, Mc wa dar Live.
Mashoto akitoa tambo zake.
Fella naye hakubaki nyuma, aliahidi makubwa.
Ukumbi wa kisasa wa Dar Live
uliopo Mbagala Zakhem, umeandaa mpambano wa kihistoria kati ya makundi
mawili hasimu ya muziki wa kizazi kipya Bongo, TMK Wanaume Family na TMK
Wanaume Halisi. Mpango mzima utatimua vumbi siku ya Pasaka na leo
makundi hayo yalifanya mkutano na waandishi wa habari kwenye ofisi za
Global Publishers, Bamaga jijini Dar.



No comments:
Post a Comment