MWIZI WA BETRI YA GARI ANAEJULIKANA KWA JINA MOJA TU SEFA AKISURUBIWA KWA STAILI YA AINA YAKE KWA KUFUNGWA KWENYE NGAZI PAMOJA NA BETRI ALIYOIBA |
MWIZI HUYO AKIENDELEA KUTESEKA KATIKA NGAZI HIYO |
POLISI WAMEFIKA KUMWOKOA MWIZI HUYO KATIKA MATESO HAYO |
BADO WANANCHI WANAHASIRA NA MWIZI WAO WAKIDAI WAACHIWE WAMFUNZE ADABU MAANA AMEWASUMBUA SANA ENEO HILO LA UYOLE |
POLISI WAMEZIDIWA WAMEPOKONYWA MTUHUMIWA WAO KIPIGO KINAENDELEA |
HII NDIYO NGAZI ILIYOTUMIKA KUMWADHIBU MWIZI HUYO PICHA KWA HISANI YA KAMANGA, MBEYA YETU |
No comments:
Post a Comment