HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » YALIYOJIRI KWENYE MAZISHI YA MAMA WA MSANII CYRILL

 Marehemu mama mzazi akiwa na mwanae Cyrill, Cyrill alisema mwanzoni wakati anaanza muziki, alitumia pesa nyingi sana ndogondogo kutoka kwa mama yake kwa ajili ya kuingia studio kurekodi lakini mama yake alikua hajui hizo pesa zinatumika kufanya nini, baadae sana ndio akaambiwa ukweli.(Picha na Millad Ayo)
 Masanja Mkandamizaji ni miongoni mwa wasanii wachache waliojitokeza, alishiriki kwenye shughuli mbalimbali kila alipoona anahitajika kufanya hivyo
 
 Masanja akiwa kwenye kabuli kwa maanadalizi ya mazishi ya mama yake na Cyrill
 Kiongozi wa dini akimwombea marehemu wakati wa mazishi ya mama yake na Cyrill
 Cyrill akiweka maua kwenye kabuli la mama yake mpendwa


 
 Mama mzani wa marehemu akiweka mchanga ndani ya kabuli la mwanane




Cyrill akimwaga mchanga kwenye kabuli la mama yake mpendwa
Cyrill akiwa kwenye wimbi la mawazo maana ni kama haamini kama mama yake mzazi kamzika

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: