Abiria wakipanda Daladala kwa kugombea ili kupanda gari la mbezi mwisho
Mwanadada akipanda daladala kwa kupitia dirishani baada ya kuona mlangoni hapawezi
Wakazi wa Mbagara wakigombania roly la mchanga kutoka kariakoo kuelekea mbagara.je hii itaisha lini?
No comments:
Post a Comment