HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MAZISHI YA MAREHEMU WATATU WALIOFARIKI KWENYE MLIPUKO WA BOMU ULIOTOKEA KANISANI WAZIKWA LEO


 Gari lililokuwa limebeba maiti za marehemu watatu likiingia kwenye maeneo ya kanisa
 waliofariki kwenye tukio la bomu la kurushwa kwa mkono kwenye kanaisa la Olasiti jijini Arusha May 5, 2013, katika ibada ya mazishi iliyofanyika kwenye kanisa hilo may 10,2013.(Picha na Ferdinand Shayo)

Mapadri wakiwa wamebeba mislaba yenye majina ya marehemu wawili kati ya watatu waliofariki kwenye tukio la bomu la kurushwa kwa mkono kwenye kanaisa la Olasiti jijini Arusha May 5, 2013, katika ibada ya mazishi iliyofanyika kwenye kanisa hilo may 10,2013.
Mapadri wa kanisa katoliki wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mtoto Patrisia na mbele kuna picha yake pamoja na msalaba wakielekea sehemu ya mazishi baada ya kufariki katika tukio la kutupwa kwa bomu la mkonokatika kanisa la Olasiti Arusha may 5, 2013.
Mapadri wa kanisa katoliki wakiwa wamebeba jeneza lenyenye mwili wa mmoja wa waliokufa katika tukio la kutupwa kwa bomu la mkonokatika kanisa la Olasiti Arusha may 5, 2013.
Askofu wa Jimbo Kuu la Arusha, Mhashmu Josephat Lebulu akinyunyuzia maji miili ya waumini wa kanisa hilo waliofariki katika tukio la kurushwa kwa bomu la mkono kwenye kanisa la Olasiti jijini Arusha may 10,2013.
Kiongozi wa kanisa Katoliki nchini, Mhashamu Polycarp kaldinari Pengo akiongoza ibada ya mazishi ya waumini wa kanisa hilo waliouwawa katika bomu lililotupwa kwenye kanisa la Olasiti Arusha May 5,2-13. Kuhoto ni Askofu wa Jimbo Kuu la Arusha, Mhashamu Josephat Lebulu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: