Robben akishangilia na wenzake
Mchezaji mtata na mgumu Arjen Robben wa Munich akiwapatia bao la kwanza Bayern leo hii usiku huko Nou Camp

Wakijiuliza kipi kilichowasibu Gerard Pique, David Villa na Cesc Fabregas ili wakitibu haraka

Marc Bartra akianguka chini na aliyesimama ni mchezaji Mario Mandzukic
Arjen Robben akipongezana na wachezaji wenzie hapa baada ya kuona wanazidi kusonga mbele
Wakijiuliza kipi kilichowasibu Gerard Pique, David Villa na Cesc Fabregas ili wakitibu haraka
Marc Bartra akianguka chini na aliyesimama ni mchezaji Mario Mandzukic
Gerard Pique (kushoto) akijiuliza na kipa Valdes baada ya kufungwa
Gerard Pique akiwa hoi baada ya kujifunga goli la pili
Muuaji Robben akishangilia
Thomas Muller akifunga la tatu
Kipa wa Bayern Munich Manuel Neuer (kushoto)kwa furaha zao kuelekea Fainali itakayofanyika tarehe 25 Mei 2013 UWANJA wa WEMBLEY, London.
Shabiki aliyevamia uwanjani akienda kumkumbatia Ribery
Shabiki aliyevamia uwanjani akimkumbatia Ribery
Shabiki aliyevamia uwanjani na kumkumbatia Ribery akitolewa na polisi. Ribery anamkabidhi jezi yake








No comments:
Post a Comment