Haya ndiyo yaliyofanyika tarime jana mtoto wa miaka 9 kuuuwa
na jeshi la polisi kwa uzembe eti wanawakamata majambazi ambao si wale wanaoiba
na kuuwa watu mpaka mwa Tanzania na Kenya kashuhudie mwenyewe uone .Hata hivyo
unaowaona ni wananchi waliochoka wakianadamana huku wamebeba kwenye machela
mwili wa marehe Deo Ykob mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi Mturu
mjini Tarime hapa nimelishuhudia hili.
-
No comments:
Post a Comment