HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » Breaking Newzzz: Lwakatare aachiwa kwa dhamana Kisutu


Mkurugenzi wa Usalama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema),  Wilfred Lwakatare 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam  imekubali kumwachia Mkurugenzi wa Usalama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema),  Wilfred Lwakatare kwa dhamana ya Shilingi Milioni 10 za kitanzania.
Kwa habari zaidi ungana nasi baadaye

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: