HII IMETOKANA NA MVUTANO ULIOPO KATI YA WANANCHI NA SERIKALI JUU YA SEHEMU YA KUAGIA MIILI YA MAITI WALIO KUFA KUTOKANA NA MLIPUKO WA BOMU JUZI
Sababu ya kutumia nguvi hii hapa
Sababu ya kutumia nguvi hii hapa
Jeshi
la polisi limekipiga marufuku chama cha demokrasia na
maendelo(CHADEMA)kufanya shughuli zozote za kuaga miili ya marehemu
kwenye viwanja vya Soweto kwani zoezi la uchunguzi bado linaendelea
kwenye viwanja hivyo .

Akizungumza
ofisini kwake kamanda wa polisi mkoani Arusha, Liberatus Sabas amesema
kutokana na uchunguzi unaoendelea wa tukio la bomu kwenye viwanja hivyo
imeonelea kuwa si busara kuweka mkusanyiko wa watu kwani kutaharibu
upelelezi.
No comments:
Post a Comment