Ndivyo anavyoonekana kusema Karima Chichi Mhandeni wa tatu
kutoka kulia, akimfariji Khadija Kopa, katika msiba wa mume wake
aliyezikwa jana Bagamoyo.
Waombolezaji wakiwa katika msiba wa mume wa Khadija Kopa, jana mjini Bagamoyo.
Jeneza
la Jafary Ally liliswaliwa mbele ya nyumba yake mjini Bagamoyo jana. Wa
nne kutoka kulia ni mtoto wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Ridhiwan
Kikwete, akiungana na waislamu wenzake kuuswalia mwili wa Diwani wa Kata
ya Magomeni, mjini Bagamoyo.
Safari
ya kuelekea makaburini ilianza. Aliyebeba mwenye fulana ya mistari ni
Yusuphed Mhandeni, Mchumi wa Kata ya Makumbusho CCM, jijini Dar es
Salaam.
Mazishi yake yalidhuhuriwa na
watu wengi, wakiwamo viongozi wa vyama vya siasa, viongozi wa Chama Cha
Mapinduzi CCM, Serikali pamoja na wasanii wengi waliokwenda kumpa pole Kopa.
Khadija Kopa aliyefunikwa akifarijiwa kwa msiba wa mume wake mjini Bagamoyo.
Mwili wa marehemu Jafary Ally ukiingizwa kaburini jana saa tisa alasiri mjini Bagamoyo mkoani Pwani.
PICHA NI KWA HISANI YA HANDENI YETU
No comments:
Post a Comment