HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » ILANI ILANI ILANI: TUJIHADHARI NA JAMAA KAMA HUYU ANAITWA HAMSEY HARRISON/HANSEY HARISON ANAHUCK ACOUNT ZA WATU FACEBOOK TIZAMA PICHA ZAKE HAPA


  

Wadau kuna mtu anaitwa Hansey Harrison/Hansey Harison anatumia account mbili kwenye facebook nazo ni https://www.facebook.com/hansey.harrison?fref=ts na https://www.facebook.com/hansey.harison?fref=ts anahack akaunti za watu facebook na pia kahack acount yangu na pia anawatumia watu wangu sms kama ni mimi na kunichafulia kwenye account yangu ya facebook inayoitwa https://www.facebook.com/geofrey.adroph?ref=tn_tnmn na pia ananisumbua sana kama kna mtu anamjua amwambie anachokifanya hakijui wala hamjui mtu anayemhack pia nawaombeni mnisaidie kwa hili maana imekuwa kero kwangu ili iwe fundisho kwa wengine wanaotaka kuwachafua watu na pia namba yake ya simu ni 0712053949 kwa sasa anaishi Dar es Salaam ila kwao ni Machame mkoani Kilimanjaro.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: