Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imemfukuza kazi askari wake wa kike, WP Amisa, aliyekuwa akifanya kazi kituo cha Polisi Magomeni kutokana na utovu wa nidhamu.
Kamanda wa Kanda hiyo, suleiman Kova alisema jana hatua hiyo imefikiwa baada ya askari huyo kukiuka maadili ya jeshi kwa kitendo chake cha kupiga picha za uchi zilizoonekana katika mitandao.
"Jeshi halitasita kumchukulia hatua askari mwingine atakaye leta utovu wa nidhamu katika jeshi ilo"



No comments:
Post a Comment