Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia washiriki wa Majadiliano ya Kitaifa ya
Ushirikiano kwa manufaa ya Wote, wakati akifungua rasmi Majadiliano
hayo yaliyoanza leo Juni 1, 2013 kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Katibu
Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mary Nagu, kumkaribisha Mhe. Makamu wa Rais. Picha na OMR
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji Dk.Mary Nagu, Mary Nagu, akisoma Hotuba yake kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua Majadiliano hayo. Picha na OMR
Sehemu ya washiriki wa Majadiliano hayo, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa majadiliano hayo. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Majadiliano ya Kimataifa ya Ushirikiano kwa Manfaa ya wote, baada ya kufungua majadiliano hayo leo
No comments:
Post a Comment