Meya wa mji wa Kampala bwana Erias Lukwago, amelazwa hospitalini nchini Uganda, baada kutumbukizwa cha machozi ndani ya gari lake,inasemekana polisi wa kutuliza ghasia FFU nchini Uganda ndio waliosika na kutumbikiza kombora la kutoa machozi katika gari la mheshimiwa huyo.
Walioshudia tukio hilo wanasema mmojawapo wa FFU a.k.a( kina ras makunja)
alitumbikiza kombora katika gari la mheshimiwa na kumsababishia maumivu makali.
Meya huyo alikuwa katika maandamano mjini Kamapala
Tizama video yake hapa chini



No comments:
Post a Comment