Mkoa wa Dar es salaam umetoa ratiba ya ziara ya Rais Baraka Obama wa
Marekani anayetarajiwa kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyarere kesho saa 8.dakika 40 mchana kwa ziara ya siku
mbili akitoka nchni Afrika ya Kusini.
Tizama hapa chi kwa kubofya



No comments:
Post a Comment