HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MKUU WA MKOA WA RUKWA AMSINDIKIZA HADIJA KOPA KWENYE UWANJA WA NDEGE BAADA YA KUPATA TAARIFA ZA MSIBA WA MUMEWE

Hadija Kopa akilia kwa majozi baada ya mme wake kufariki

Baadhi ya viongozi na wananchi wa mkoa wa Rukwa na Mpanda wakimsindikiza kupanda ndege msanii wa taarab na malkia wa mipasho Tanzania Khadija Omar Kopa kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda baada ya kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf aliyefariki Dunia leo alfajiri, Bi Khadija Kopa alikua akitokea kwenye Maadhimnisho ya siku ya Mazingira Duniani kitaifa yaliyoadhimishwa Namanyere Mkoani Rukwa jana.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: