HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » Mwili wa Msanii Albert Mangwea kuwasili nchini leo mchana





Wadau wa Afrika Kusini wakiwa katika harakati za kuusafirisha mwili wa msanii wa kizazi kipya aliyefariki Dunia huko nchini Afrika ya Kusini hivi karibuni,marehemu  Albert  Mangwear jioni ya jana huko  Johannesburg, Afrika Kusini. Ratiba zinaonesha mwili huo utawasili leo jijini Dar es salaam. Muda na ratiba kamili zitafuata punde.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: