Waathirika wawili wakiwa kwenye kifusi baada ya kuanguka kwa jengo la kiwanda cha nguo Savar, Bangladesh, Aprili 25, 2013. Picha na Taslima Akhter.Picha nyingi poweful zilipigwa baada ya kuanguka vibaya kiwanda hicho nchini Bangladesh lakini hii ndio picha iliotoa uzuni na mshangao mkubwa kwa mashuhuda.
-
No comments:
Post a Comment