HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO

 Yussuf Salim Hussein wa CUF akiapa kuwa mbunge Bungeni Mjini Dodoam Juni 2013.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu mawali Bungeni Mjini Dodoma Juni 2013.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiteta na Mbunge wa Kuteuliwa, Joseph Mbatia, Bungeni Mjini Dodoma Juni 2013.
 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Wageni wa Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya  kutoka Kata ya Silambo waliotembelea Bunge, Ofisini kwake, BungeniMjini Dodoma Juni20,  2013.
 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Wageni wa Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya  kutoka Kata ya Silambo waliotembelea Bunge, Ofisini kwake, BungeniMjini Dodoma Juni20,  2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Mbozi Mashariki, Godfrey Zambi kwenye viwanja vya Bunge MjiniDodoma Juni 20, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: