Huu ndio mwili wa marehemu Albert Mangwea hatukuweka picha ya karibu kwasababu ya zilizo nje ya uwezo wetu
Mez B akisoma wosia wa marehemu Albert Mangwea
Umati wa watu waliofika kwenye eneo la tukio
Wasanii wakiuaga mwili wa marehemu Albert Mangwea
Watu wakiwa wamepanga msitari kwa ajili ya kuuaga mwili wa marehemu
Mwili wa marehemu Albert Mangwea ukifunguliwa kwajili ya kuagwa
Ulinzi ulikuwa wakutosha
TID akitoa neno kwa wanachi waliofika kuuaga mwili wa marehemu Albert Mangwea
Baadhi ya wasanii wakiwa na Kamati ya mazishi kwenye stage wakati wa kuagwa kwa mwili wa Marehemu Albert Mangwea
Mwili wa marehemu Albert Mangwea ukiwa umebebwa na wasanii ukipelekwa ndani ya gari
Baadhi ya wananchi waliofika kuaga mwili wa marehemu Albert Mangwea leo asubuhi
PICHA NA PAMOJAPURE bLOG
No comments:
Post a Comment