Mwili wa marehemu Langa ukipelekwa kwenye makaburi ya kinondoni kwa ajiri ya mazishi
Baadhi ya waliofika makaburini wakifuatilia kwa umakini mazishi ya msanii wa hiphop marehemu Langa aliyezikwa jana jumatatu kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam
Mama na baba wa marehemu Langa wakiwa makaburini kwa ajiri ya kumzoka mtoto wao kipenzi marehemu Lanaga Kileo kwenye makaburi ya Kinondoni
Jeneza llililoubeba mwili wa marehemu Langa likiwa liko juu ya kaburi kwa ajiri ya mazishi
Maandalizi yakienelea ya mazishi
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Langa likishuka taratibu kwenye kaburi lake maeneo ya Kinondoni jijini dar es Salaam
Mwili ukiwaumefikishwa chini na kuondoa mashine iliyotumika kuushushia mwili huo
Waandishi wa habari nao hawakuwa nyuma kuchukua picha za kumbukumbu za mazishi ya marehemu Langa
Ndugu na jamaa wakiweka mchanga kwenye kaburi la marehemu Langa jana jioni kwenye makaburi ya Kinondoni
Baadhi ya wasanii waliofika kwenye mazishi ya msanii mwenzao wakiwa kwenye hali ya huzuni na mshangao kwani hawaamini kama mwenzao amewatoka
Baba na mama wa marehemu Langa kileo wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mtoto wao mpendwa
Familia ya ikipiga picha ya pamoja kwenye kaburi la marehemu Langa Kileo na mazishi hayo yalifanyika kwenye makaburi ya Kinondoni
Watu wakiwa na simanzi kwenye mazishi ya msanii wa HipHop Marehemu Langa
No comments:
Post a Comment