HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » TIZAMA MAANDALIZI YA KUAGWA KWA MAREHEMU ALBERT MANGWEA LEO MJINI MOROGORO

Askari akishuka kwenye gari na mbwa
 Baadhi ya wananchi waliokuwa wamefika kwenye eneo la tukio

Pichani juu ni maandalizi ya ndani ya Uwanja wa Jamhuri atakapoagwa msanii Albert Mangweha leo kabla ya mazishi yatakayofanyika nyumbani kwao Kihonda.

Meza kuu hii ikiwa ni maandalia ya kuuwaga mwili wa msanii marehemu Albert Mangwea aliyefariki dunia na anatarajiwa kuzikwa leo mkoani morogoro.Utaratibu huu umeandaliwa katika uwanja wa jamuhuri mkoani morogoro kwa lengo la kuwapa fursa wakazi wa mji huo kupata nafasi za kuuwaga mwili huo kabla ya maziko

Umati mkubwa wa wakazi wa morogoro waliojitokeza katika zozi za kuwaga mwili wa msanii huyo mchana huu kabla ya maziko yake leo.Endelea kupitia audifacejackson blogspot.Marehemu albert mangwea alifariki wiki iliyopita nchini afrika kusini na maziko yake yatafanyika leo mkoani hapa


Umati mkubwa wa watu uliokuja kutoa heshima zao za mwisho kwa Marehemu Albert Mangwea

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: