Hapa
M to The P akilia baada ya kupita kwenye jeneza la Ngwair katika Uwanja
wa Jamhuri mjini Morogoro, kabla ya mazishi yake yaliyofanyika Kihonda
Kanisani.
Mama
wa Ngwair akizungumza na Mkuu wa Mkoa Morogoro, Joel Bendera, leo mjini
Morogoro, kabla ya mazishi ya msanii huyo wa Hip Hop Tanzania
Mwili wa Ngwair unaingizwa Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Mbunge Sugu anamuaga Ngwair katika Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Hapa
watu wanakanyagana kwa ajili ya kujipanga mstari kwenda kumuaga
marehemu Ngwair, leo katika Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Foleni ya kwenda kumuaga marehemu Albert Mangwea kwenye uwanja wa Jamuhuri Morogoro.
Huyu ni mmoja Kati ya niliyoshuhudia wameanguka hapa uwanjani Jamuhuri Morogoro, amechukuliwa na huduma ya kwanza.
“Marehemu
Albert Mangweha azikwa kishujaa sana ni umati usioelezeka mungu akulaze
mahali pema peponi,” ameandika Izzo B kwenye Instagram.
Naye
Lady Jaydee kupitia Twitter ameandika: Mpaka hapa tulipomsindikiza
panatosha. Mungu amrehemu, kazi tumeimaliza. Life goes on.”
“Marehemu Albert Mangweha azikwa kishujaa sana ni umati usioelezeka mungu akulaze mahali pema peponi,” ameandika Izzo B kwenye Instagram.
Hapa
jeneza la Ngwair linaingizwa karubini, ikiwa ni picha inayoonyesha kuwa
hatutaweza tena kukutana na msanii huyu hapa chini ya jua. R.I.P
Ngwair.
Jeneza likianza kupotea ka kutelemshwa chini
Ufunikaji ukiwa unamalizika
Jeneza likianza kupotea ka kutelemshwa chini
Ufunikaji ukiwa unamalizika
No comments:
Post a Comment