Mwili wa marehemu wa aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Kata ya Sokoni One, marehemu Judith William Moshi ukiombewa kwa ajiri ya mazishi
 |
| Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Judith William Moshi, aliyeuwawa kwa bomu kwenye mkutano wa kampeni za chama hicho ukizikwa na wananchama na wananchi kwenye makaburi ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Sokoni one, mjini Arusha. |
 |
| Mwenyekiti wa CHADEMA, Freman Mbowe na Mh. Sugu wakiweka mchanga kwenye kaburi la aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Kata ya Sokoni One, marehemu Judith William Moshi
|
No comments:
Post a Comment