Msafara
wa kupokea mwili wa msanii marehemu Albert Mangwea ukiwa unaingia
morogoro hapa ni eneo la nane nane,Umati mkubwa umejitokeza katika
mapokezi hayo jioni ya leo
Umati mkubwa ukiwa unaushuhudia mwili wa Marehemu Albert Mangwea
Askari wa usalama barabarani wakifanya kazi yao
Wapenzi na mashabiki wa marehemu Albert Mangwea wakiusindikiza mwili huku wakiimba nyimbo za uzuni
Safari ikiendelea
Msafara wa ukiwa unaenda taratibu kutokana na umati mkubwa ulioupokea mwili wa marehemu Albert Mangwea aliyefariki huko Afrika ya Kusini
Umati mkubwa wa wananchi wakiwa pembeni mwa barabara kuushudia mwili wa maremu Albert Mangwea alipokuwa anawasili mbkoani Morogoro
Mapokezi ya mwili wa marehemu Albert Mangwea eneo la Mazibu Road Kihinda
Wakazi wa Morogoro wakishuka kwenye gari kwa ajiri ya mapokezi ya mwili wa Marehemu Albert Mangwea
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya na filamu, KITALE, akisalimiana na mashabiki
wake baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu. Msanii huyu mchana alitoka
kali ya mwaka kwenye viwanja vya Leaders, baada ya kuibiwa simu na
kumkamata mwizi wake na kisha kumpakia kwenye gari na kutokomea nae
kusikojulikana.
Msanii Afande Sele, akiwapokea wageni waliowasili na msafara huo..
No comments:
Post a Comment