HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » TIZAMA VIDEO YA MAHOJIANO HAPA YA MTANZANIA ALIYEKAMATWA NA MADAWA YA KULEYWA NCHINI MISRI NA KUHUKUMIWA KUNYONGWA


Kwa zaidi ya wiki moja iliyopita habari zilisambaa kwamba binti Mtanzania aliekamatwa na dawa za kulevya nchini Misri angenyongwa siku za karibuni kutokana na hizo dawa alizokamatwa nazo.

Millardayo.com baadae ilimpata balozi wa Tanzania Egypt ambae alikanusha taarifa za kunyongwa na akakubali kwamba kweli kuna Watanzania wawili wamekamatwa ambao ni huyo msichana na ndugu yake wa kiume ambao ni wakazi wa Magomeni jijini Dar es salaam na kwamba wanashikiliwa na polisi huku wakisubiri kesi yao.

Leo hii, Pamojapure Blog inakupatia nafasi kuona video ya mahojiano ya TV na msichana huyu ambae anadai alikwenda Misri kumtafuta binamu yake, begi alilokamatwa nalo ni lake ila alikua hajui kama lina dawa za kulevya.

HII HAPA VIDEO TUMIA MUDA WAKO KUIANGALIA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: