Mtungi huu ulitumika kuhifadhia maji ya kunywa
Chungu cha kupikia
`Chungu hiki kilitumika kuwekea Pombe au maji kutoka jamii ya Wakwere toka mwaka 1955
Kikaango au chungu cha kupikia mboga
Hiki kilikuwa ni chombo cha kuwekea pombe kutokea jamii ya Wabena toka 1951








No comments:
Post a Comment