HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » RAIS OBAMA AWASILI NCHINI TANZANIA MCHANA HUU

 Rais wa Marekani, Barack Obama na mke wake wakipokea maua kwenye uwanja wa Mwalimu Nyerere leo mchana
  Rais Obama akiwa na mwenyeji wake Rais Kikwete wa Tanzania wakiangalia ngoma za kiasili
 Mkuu wa majeshi wa Tanzania akifuatana na Rais Barack Obama wakati wa kukagua jeshi
Rais Barack Obama akikagua gwaride 


Endelea kutizama picha za matukio kwa kubofya hapa chini
  Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete akiwa na Rais wa Marekani alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere leo mchana


 
Msafara wa kuelekea Ikulu 

 Rais wa Marekani, Barack Obama(wa pili kutoka kulia) na First lady Michelle Obama (kulia)  na  Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete, na kushoto ni  Tanzania First Lady Salma Kikwete, wakiwa wamefika kwenye Ikulu ya Dar es Salaam, Tanzania leo Jumatatu July 1, 2013.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: