Timu zote zikiwa uwanjani kwa ajili ya mechi ya fainali
Torres akiwapita wachezaji wa Brazil kwenye fainali ya kombe la mabara ambapo Brazil ilishinda mabao 3-0
Endelea kutizama picha kwa kubofya hapa chini
Mchezaji wa Spain, Gerard Pique akimchezea vibaya mchezaji wa Brazil, Neymar
Mchezaji wa Spain, Gerard Pique akipewa kadi nyekundu
Fred akishangilia baada ya kufunga goli
Mchezaji wa Spain, Andres Iniesta akikabana na mchezaji wa Brazil, Dani Alves
Neymar akishangilia goli
Wachezaji wa Brazil wakishangilia
Wachezaji wa Spain wakishangaa kilichotokea baada ya kupigwa goli 3-0 na Brazil kwenye fainali ya kombe la mabara
Wachezaji wa Brazil wakishangilia baada ya kutwaa kombe la mabara kwenye uwanja wa Rio de Janeiro, Brazil






















No comments:
Post a Comment