Bar maarufu ya Samaki Samaki iliyoko Mbezi Beach Jijini Dar Es Salaam imeteketea kwa moto ambao unaendelea kudhibitiwa.
Kiota hiki maarufu cha starehe jijini Dar es Salaam cha Samaki Samaki tawi la
Mbezi – Makonde jijini Dar es Salaam leo kimeteketea na Taarifa
za awali zinadai kuwa moto huo umetokana na hitilafu ya umeme. Kila kitu
kwenye mgahawa huo kimeteketea.
Hahari zaidi itawaijia baadae
Hahari zaidi itawaijia baadae
CHANZO: ITV TANZANIA
No comments:
Post a Comment