Ziona Chana inasemekana anafamilia kubwa kliko watu wote duniani kwa kuwa na wake wapatao 39, watoto 94 na wengine 14 wakiwa chini ya uangalizi wa mahakama na pia ana wajukuu 33 ambao hawa wote wanaishi kwenye nyumba moja Baktwang nchini India
Ziona Chana akiwa na wake zake wote
Hii ndio nymba ya familia hiyo
CHANZO: CNN








No comments:
Post a Comment